Monday, May 13, 2013

Modo Wa Kijapani Atumia Zaidi Ya Dola Laki Moja Ili Awe Kama Modo Wa Kifaransa

Vanilla Chamu
Mwanamke mmoja wa Kijapani, amefanya mabadiliko ya kushangaza juu ya mwili wake, ambapo hutumia zaidi ya vipodozi aina 30 vyenye thamani ya Yen milioni 10 ambazo ni sawa na dola za Kimarekani 102,000.

Mwanamke huyo ambaye ni modo anajulikana kama Vanilla Chamu, amesema anatarajia kuendelea kufanya upasuaji mpaka awe amekamilisha lengo la maisha yake yote la kuonekana kama mrembo wa Kifaransa

No comments:

Post a Comment