Je Muigizaji Cossy Orjiakor Wa Nollywood Ni Muathirika Wa HIV?
Minong'ono imeenea Nollywood juu ya muigizaji toka huko aitwaye Cossy, kusemekana kuwa na yupo na virusi vya HIV.
Ilimuogopesha sana kupima ngoma ila ilimbidi afanya hivyo, na mara baada ya kwenda kupima msichana huyo ali-tweet kwenye ukurasa wake na kuelezea juu ya status yake ya HIV.
Soma chini alichokiandika Cossy kwenye twitter.....
No comments:
Post a Comment