Sunday, May 19, 2013

Hizi Ndio Jezi Za PSG Kwa Msimu Ujao Wa 2013/14

David Beckham aliteuliwa na kocha wa timu hiyo kuwa Nahodha wa PSG kwenye mechi yake ya mwisho.
 Wiki iliyopita kulikuwa na jezi nyingi zilizosambazwa kwenye mitandao mbalimbali huku zikitajwa kuwa ndio jezi za PSG, ukweli ni kwamba hizi ndio jezi rasmi za timu hiyo kwa simu ujao.
Jezi mpya za Paris Saint Germain pia zina rangi ya navy blue kwenye shingo na mstari mwekundu mwishoni mwa mikono yake.
Kaptura zake zina rangi ya Navy blue na soksi za rangi hiyo ya navy blue zikikamilisha jezi kamili za timu ya PSG kwa msimu wa 2013/14 kama jezi za nyumbani

No comments:

Post a Comment