Sunday, May 19, 2013

Ja Rule: Tayari Kwa Vita

Ja Rule
Nikuhumu mimi! Ja Rule anaonekana kuwa yupo tayari kwa chochote ili mradi mamo yake yaweze kwenda.

Hakuna uwezakano wowote kwenye dunia hii kwa jamaa huyu kutotaka kurudi tena kwenye gemu ya kurap kwa gharama yoyote ile.

Miaka miwili gerezani kwa kosa la kukutwa na bunduki? Duh... Hakika mchizi ni lazima arudi kwa nguvu zote.
Ja Rule Na Noriega

Je unamkubali Ja Rule kwa kiasi gani…?

No comments:

Post a Comment