Tuesday, April 16, 2013

TAARIFA MUHIMU

Akiwa na umri wa miaka 94 sasa, Mkombozi wa nchi ya Afrika Kusini na Waafrika kwa ujumla Mzee NELSON MANDELA ni mgonjwa, kwa sasa amelazwa kwenye hospitali moja jijini Pretoria kwa matibabu. Hakika maisha yake ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa Bara la Afrika na Dunia kwa ujumla. Ni mmoja kati ya Viongozi wachache wanaotufanya Waafrika tuwe kifua mbele mpaka sasa. Tumuombe Mwenyezi Mungu amponye NELSON MANDELA.

No comments:

Post a Comment