Tuesday, April 16, 2013

SUMATRA watangaza BEI MPYA za NAULI

HII ni kwa DALADALA: Kuanzia tarehe 12 Aprili 2013 nauli ya Mwanafunzi sh. 200 na Mtu Mzima atalipa sh. 400 kwa safari za mijini. Hii ina maana ni kutoka kituo kimoja kwenda kingine.....! Mtazamo wako tafadhali..!

No comments:

Post a Comment