Kipi kimoja kati ya vifuatavyo ni ngumu kwako kuishi bila kuwa nacho..?
1) Kukaa miezi mitatu bila kufanya mapenzi....?
2) Kukaa miezi mitatu bila kuwa na simu yako....?
3) Kukaa miezi mitatu bila kilevi chako...? (Bia, Sigara, Bangi, Mirungi, Unga nk)
4) Kukaa miezi mitatu bila kuwa na hela
5) Kukaa miezi mitatu bila kula chakula unachokipenda sana...?
Fanya kuwa mkweli.....
No comments:
Post a Comment