Tuesday, April 16, 2013

STORI ya KWELI na YAKUSIKITISHA

Msichana huyu kwa jina akiitwa GIFT, juzi Jumamosi ilitegemewa kuwa siku ya Harusi yake, cha kusikitisha ni pale alipokutwa amefariki siku moja kabla ya Harusi yaani siku ya Ijumaa. Watoa habari wanasema alikutwa ameuwawa na watu wasiojulikana wakati anatoka kwa Fundi Nguo nguo wake. **WATU ni WABAYA**

No comments:

Post a Comment