Tuesday, April 16, 2013

KIJEMBE CHANGU

Huo usemi wenu unaosema "hata kinyozi awe mtaalamu vipi hawezi kunyoa kichwa cha habari" binafsi naona sio wa ukweli, huku kwetu kuna jamaa anaitwa HABARI RAMADHANI leo hii mbona amenyolewa nywele pale Salon ya Mwembeni....!

No comments:

Post a Comment