Rihanna Akirembwa |
Rihanna amekuwa akitumia siku chache zilizopita muda mwingi akiwa amejipumzisha pembeni mwa bwawa la kuogelea, ila mzuka ulirudi kikazi zaidi wakati alipokuwa anajiandaa kwa show yake ndani ya Atlanta.
Mkali huyo wa ngoma ya Diamonds, amejaribu kuwashirikisha wadau wake kwa picha zinazomuonyesha akiwa amejifunika taulo kwenye kifua chake, huku akiwa amevaa nguo ya ndani ya rangi ya njano.
Huku nywele zake zikiwa zinatengenezwa ili apate muonekana anaohitaji kuupata.
Rihanna 25, aliandika kwenye akaunti yake ya Twitter: 'Show time!! #DWT," akaandika tena. "#ATL is all miiiiiinnneee!!!! I want you on your WORST behavior!!!
Tonight is all about you!!! #DiamondsWorldTour'
No comments:
Post a Comment