Beyonce Kwenye Video Ya 1+1 |
Kwenye picha iliyochukuliwa kwenye video ya wimbo wa 1+1 iliyopigwa hivi karibuni, kuna kitu mbacho kimeonekana kama ni moja kati ya ishara zao.
Ukiangalia kwa karibu, unaweza kuona kitu ambacho kinafanana na umbo la alama ya pembe tatu (triangle) lenye pembe mbili.
Je labda sababu ni wote huwa tunaona kile tunachotaka kukiona.
Upi mtazamo wako..?
No comments:
Post a Comment