|
Tamerlan Na Dzhokhar Tsarnaev |
Anayetuhumiwa kuhusika na ulipuwaji wa mabomu kwenye mbio za Boston, Dzhokhar Tsarnaev, amewaeleza wachunguzi wa shauri hilo kwamba, kaka yake aitwae Tamerlan ndiye ambaye alikuwa nyuma ya mpango huo wote, na kwamba hakuna kikundi chochote cha ugaidi cha kimataifa kilichopo nyuma yao.
Chanzo kimoja ndani ya Serikali ya Marekani kimeeleza siku ya Jumatatu.
No comments:
Post a Comment