Thursday, April 25, 2013

Prezzo Ajiachia Na Warembo (PICHA)

 Toka Goldie aliyekuwa demu wake afariki, Prezzo amekuwa akifurahia maisha na kujiachia nchini Afrika Kusini.

Hizi ni baadhi ya picha zake akiwa na wasichana wakila maisha.

Hapa akiwa na gari lake jipya....

No comments:

Post a Comment