Hivi karibuni kupitia akaunti yake ya Instagram, mwanamuziki Rihanna aliamua kuweka picha inayoonyesha matiti yake kwa ajili ya mashabiki wake.
Na ilipotokea mashabiki wake kugundua kwamba ni picha inayoonyesha matiti ya Rihanna, mara moja aliitoa picha hiyo.
No comments:
Post a Comment