Thursday, April 25, 2013

Mavazi Mengine Ni Ya Ajabu


Hivi kuna tofauti gani kati ya kichaa anayetembea barabarani hajavaa nguo (Uchi) na mdada aliyevaa nguo hii?

Dada zangu, kitu kimoja cha msingi mnachotakiwa kujua ni kwamba, yeyote anayekufanya au kukushawishi uvae hivi atakuwa anautamani mwili wako tu.

Kuweni makini....

No comments:

Post a Comment