Mario Gotze |
Bayern wamesema, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 atahamia kwenye klabu hiyo mnamo tarehe 1 July baada ya mchezaji huyo wa Kijerumani kuwaelezwa Dortmund nia yake ya kutaka kuondoka.
Kocha wa Dortmund Jurgen Klopp alisema: "Mario anajua
kwa kiasi kikubwa klabu inamuhitaji, ila najua naye anarudisha mengi kwetu pia."
Kiasi cha Euro 37m ambacho ni sawa na Paundi 31.5m
kinaaminika kimetumika kumng’oa mchezaji huyo.
Mchezaji wa Kijerumani aliyekuwa anashikiria na rekodi ya
juu kwa uamisho ni mshambuliaji wa Mario Gomez ambaye uamisho wake uligharimu
kiasi cha Paundi 26.5m kuhamia Bayern toka klabu ya Stuttgart mnamo mwaka 2009.
No comments:
Post a Comment