Tuesday, April 16, 2013

LISTI YA WAIGIZAJI 15 WAKIKE WA NIGERIA WANAOINGIZA HELA NYINGI KWA SKRIPTI

Mara nyingi watu wamekuwa wakizungumzia juu ya kiasi cha pesa ambacho wachezaji wa mpira wa miguu na wanamuziki wanaingiza. Kwenye utafiti uliofanywa hivi karibuni umeonyesha kwamba wacheza filamu wa kike wa Nigeria nao hawafanyi vibaya kwa kile wanachokiiingiza mfukoni. Chini ni listi ya wanawake 15 wanaolipwa hela nyingi kwa ushiriki wa sehemu moja ya filamu. 15. Uche Jumbo N450,000 14. Fathia Balogun N500,000 13. Mercy Johnson N600,000 12. Funke Akindele N600-700,000 11. Oge Okoye. N600.000 10. Chioma Chukwuka N700,000 9. Rita Dominic. N1m 8. Ngozi Ezeonu. N1m 7. Joke Silver N1m 6. Stella Damasus. N1m> 5. Kate Henshaw Nuptal N1m 4. Omotola Jolade. N1.5m> 3. Patience Ozonkwo N1.6m 2. Ini Edo N1.8m 1. Genevieve Nnanji N2m Hiyo ni Naira ya Nigeria ambayo kwa fedha ya kibongo inachenjiwa kwa Naira 1 = Tsh. 10

No comments:

Post a Comment