Tuesday, April 16, 2013

HUKUMU UCHAGUZI KENYA

Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza William Ruto walichaguliwa kihalali, imesema Supreme Court ya Kenya katika hukumu iliyosomwa dakika 20 zilizopita. Jaji Mkuu Willy Mutunga amesisitize kwamba uchaguzi mkuu ulikuwa huru na wa haki. CHANZO: Mwananchi Communication LTD.

No comments:

Post a Comment