Tuesday, April 16, 2013

DRAKE AKIRI KUMMEGA RIHANNA

Drake na Rihanna
Kwenye mahojiano aliyofanya na kituo kimoja cha radio, mwanamziki wa miondoko ya RnB, amefunguka na kuzungumzia kile ambacho watu wengi walikuwa wanahisi tu, kwamba yeye alishawahi kutembe na mwimbaji wa Bajan na demu wa Chris Brown, Rihanna...

 “Hajiamini sababu mimi nafanya miziki mizuri kuliko yeye... Mimi nipo juu zaidi yake... Kwa namna moja yule mwanamke anayempenda alishakuja kwenye anga zangu na kama mwanaume nikafanya kile ambacho mwanaume wa kweli lazma akifanya kwa mwanamke." Alisema Drake. (Baada ya kummega) sikumvunjia heshima kwa hiyo naamini na yeye hawezi kuongea vibaya kuhusu mimi.

No comments:

Post a Comment