Friday, April 26, 2013

Chini Ya Ulinzi PAMBAF....

Kikundi Cha Majambazi Na Siraha Walizokutwa Nazo
Hii imetoke huko Lagos nchini Nigeria, ambapo kikundi kimoja cha ujambazi kimewekwa chini ya ulinzi mara baada ya majambazi hayo kuteka na kuiba pesa na vitu mbalimbali.

Swali langu la msingi kwa nini watu huwa ni wezi na majambazi..?

Je ni njaa, tamaa au...

No comments:

Post a Comment