Anaitwa Esther Stephen Namuhisa, Muandaaji na Mtangazaji wa Vipindi pale TBC kwenye kitengo cha FM.
Msikilize kila siku za wiki kwenye kipindi cha Busati kinachoruka hewani kuanzia saa 12 mpaka 3 asubuhi, pia kwa kila siku ya Jumamosi kwenye kipindi chake cha Ndio Mambo, kinachoruka kuanziasaa 10 mpaka saa 12 jioni.
Mzalendo halisi toka Bongo...
Siku njema ya Muungano....!
No comments:
Post a Comment