Monday, April 29, 2013

2 Chainz Huru Kwa Kesi Ya Bangi

2 Chainz Na Mapolisi
Rapa mkali kutoka nchini Marekani 2 Chainz, amekutwa hana hatia dhidi ya kesi iliyokuwa inamkabili ya kukutwa na bangi.

Na mara baada ya kuisha kwa kesi hiyo polisi waliamua kupiga picha na rapa huyo.

Hukumu hiyo iliyotolewaJumatano iliyopita ndani ya Maryland, huku Jaji akikiri kutokuwepo kwa ushahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo.

No comments:

Post a Comment