Friday, April 04, 2014

INATISHA! Mvulana Amkata Kichwa Mwenzake, Akamatwa Akiwa na Kichwa Hicho Mikononi Mwake [PICHA]

Kwa mujibu wa mtandao wa nchini Ghana wa OmgGhana, picha hapo juu ni ya mvulana ambaye alikamatwa kwa kukutwa akiwa amekishika kichwa cha mvulana mwengine ambaye inaaminika alimchinja.

Sababu ya kuamua kufanya hivyo haijajulikana ila polisi bado wanaendelea na uchunguzi, ila nitazidi kukutaarifu zaidi juu ya habari hii kadiri ntakavyokuwa naipata.

1 comment: