Thursday, March 13, 2014

INATISHA: Ajali Mbaya ya Boda Boda Yatokea Manzese Asubuhi [PICHA]

Ajali mbaya ya pikipiki imetokea leo asubuhi majira ya saa nne Manzese eneo la darajani, mtu mmoja  aliyekuwa akiendesha boda boda hiyo ambaye jina lake halikufahamika mara moja alifariki papo hapo.

Kwa mujibu wa shuhuda wetu anasema chanzo cha ajili hiyo kilitokana na mwendo kasi.

No comments:

Post a Comment