Friday, February 14, 2014

Habari za Rais Obama Juu ya Kuwa na Mahusiano na Beyonce ni za Kizushi

Mapema hapo juzi, kuna taarifa zilienea kwamba Rais Obama na Beyonce kuwa wana mahusiano. Gazeti moja la Ufaransa lilisema habari kamili zitatolewa na kwenye gazeti la Washington post kesho yake ambayo ni jana.

Ila imekuja onekana kwamba hicho kitu sio cha kweli na hakikutoka na hakitakuja kutoka tena, hii ni kwa mujibu wa US Weekly.

No comments:

Post a Comment