Wednesday, December 11, 2013

Papa Francis Ndiye Mtu wa Mwaka 2013 wa Jarida la TIME


Katika muda wa miezi tisa ofisini, amejiweka katikati ya kiini cha mazungumzo ya wengi kwa mida yao: iwe ni kuhusu utajiri na umasikini, usawa na haki, uwazi, usasa, utandawazi, nafasi ya mwanamke, asili ya ndoa, majaribu ya madaraka nk.


Katika kipindi ambacho mipaka ya uongozi unajaribiwa sehemu mbalimbali, hapa anatokea mtu ambaye hana jeshi wa siraha, bila kuwa na ufalme mbele ya vita kali katikati ya Rome ila kwa nguvu ya uwezo na uzito wa historia ya nyuma yake, kuangusha chini vipingamizi sio ngumu.

Dunia inazidi kuwa ndogo; sauti za watu zinazidi kuwa kubwa; teknolojia inarahisisha mambo, hivyo kile kidogo akifanyacho kinaonekana mpaka mwisho wa Dunia.

Alipombusu mtu mwenye ukoma au kuosha miguu ya mwanamke wa Kiislamu, picha ile iliakisi kwenye zaidi ya mipaka ya Kanisa na Katoliki.


Hongera kwa  mtu wa mwaka....!

No comments:

Post a Comment