Thursday, December 12, 2013

Emmy Rossum Ajiachia Kila Kona kwa Ajili ya Picha za Jarida la Esquire [PICHA]


Huyu ni nyota wa tamthilia inayotamba kwa sasa iitwayo Shameless, anaitwa Emmy Rossum, hakika hakuwa akijali chochote zaidi ya kuondoa aibu wakati wa kupiga picha hizi ambazo ni maalum kwa ajili ya jarida la Marekani liitwalo Esquire.

Bila wasi wala shaka, muigizaji huyu wa kike mwenye umri wa miaka 27 alipiga picha hizi za toleo la mwezi January 2014 la jarida hilo lenye kuhusu mitindo ya maisha.
 

Angalia picha zaidi hapo chini..




No comments:

Post a Comment