Wednesday, December 18, 2013

Kelly Rowland Akiri Kuwa Amechumbiwa: Aelezea Namna Jamaa Alivyomtokea

Ni rasmi. Kelly Rowland ametangaza kwamba rasmi kuwa amechumbiwa.
Alipokuwa kwenye kipindi cha The Queen Latifah Show, alikiri kuwa kweli yeye ni mchumba wa meneja wake aiitwaye Tim Witherspoon.

Alipoulizwa ni vipi jamaa alituma maombi hayo kwake, alisema;

"Kiukweli ilitokea kupitia Skype. Aliniuliza kwa mara ya kwanza kwenye Skype na nilikuwa katika hali ya, 'Tuko mbali kati yetu.' Nilikuwa kama, sehemu fulani ndani ya Bulgaria."

No comments:

Post a Comment