Tuesday, December 24, 2013

Inawezekana Makalio ya Kim Kardashian ni Feki ...... Hapa pana Ushahidi [PICHA]


Mnamo siku ya Jumamosi December 21, nyota wa vipindi halisia Kim Kardashian alienda kwenye moja ya gym akiwa kwenye kivazi ambacho wote mtakiona.

Mara baada ya hapo mrembo huyo aliamua kwenda kufanya shopping kwenye duka la Barney. Nakubali kwamba alionekana yuko poa kwenye vazi alilokuwa amelivaa la kimichezo ila kwenye akili ya pili, ukijaribu kuivuta picha kwa karibu na makalio yake kuna kitu cha ziada utakigundua toka kwenye picha hiyo.


Inaonekana zaidi kama kama kuna mchina amehusika pale kati, wewe unaonaje?

No comments:

Post a Comment