Friday, November 08, 2013
Rais wa Uganda na Mke Wake Kupima HIV Hadharani
Rais wa Uganda Yoweri Museveni na First Lady Janet Museveni watafanya vipimo vya HIV katika lengo la kushawishi watu kwenda kupima.
Wakala wa Ikulu ya nchi hiyo ambao ndio wanaosimamia zoezi hilo Uganda Aids Commission alisema mnamo siku ya Alhamisi kwamba Museveni na mke wake ni watu wanaoongoza kwa mifano kutokana na hatua yao ya kuamua kutaka kwenda kupima HIV.
Taarifa toka Wakala wa Habari Xinhua imesema.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment