Thursday, November 07, 2013

Heineken Yaongeza Mkataba wa UEFA Champions League


Heineken imetangaza kuongeza udhamini wa mkataba wake wa UEFA Champions League. Mkataba huo mpya unamaanisha kwamba Heineken® ambayo inaongoza kimataifa kama bia namba moja, itaendelea kuwa mdhamini rasmi wa mashindano hayo yanayoaminika kuwa bora zaidi kwa ngazi ya vilabu mpaka kwenye msimu wa 2017 / 2018.

Heineken® imekuwa ikidhamini mashindano ya UEFA Champions League toka mwaka 2005. Udhamini unaowafanya Heineken® kuwa bia namba moja inayopendwa zaidi duniani.

Mwaka jana, mashindano ya UEFA Champions League yanakadiliwa yalifikia watazamaji zaidi ya billioni nne wa TV.

No comments:

Post a Comment