Saturday, May 04, 2013

Nick Minaj Amshambulia Mariah Carey: Amuita Mwanamke Mbaya Wa Zamani


Nick Minaj Na Mariah Carey

Ikiwa kama umesahau,… inaonekana Nicki Minaj bado hampendi Mariah Carey… maana muda mchache uliopita, amemshambulia tena Diva huyo kwa maneno … akimuita ni mwanamke mbaya wa kizamani asiye na mvuto.
Nicki Minaj amerusha kombora hilo kupitia akaunti yake ya Twitter, kufuatia mfululizo wa chuki zinazoendelea kati yao.

Wakati huo huo, Mariah Carey naye aliwahi kumtukana na kumdhihaki Nicki Minaj kwenye moja kati ya vipindi, akisema Nicki hajawahi kuwa na wimbo uliokamata nafasi ya kwanza kwenye chati za nyimbo 100 za Billboard.

No comments:

Post a Comment