Wednesday, May 15, 2013

Drake Aingia Kwenye Vipengele 12 Vya Tuzo Za BET

Drake
Rapa na Muimbaji Drake toka nchini Marekani, amefanikiwa kuingia kwenye vipengele 12 vya tuzo za BET.

Tuzo hizo za BET zinategemea kufanyika mnamo June 30 kwenye Ukumbi wa Nokia L.A uliopo ndani ya Los Angeles, California.

BET walitangaza wanamuziki mbalimbali wanaowania tuzo hizo mnamo siku ya Jumanne (May 14) huku marapa Kendrick Lamar na 2 Chainz kila moja akiwa ameingia kwenye vipengele vinane, A$AP Rocky wameingia kwenye vipengele vitano, wakati Rihanna, Justin Timberlake, Kanye West na Miguel wakiwa wanakamilisha listi kwa kushindanishwa kwenye vipengele vitatu kwa kazi yao waliyoifanya mwaka huu.

Drake amachaguliwa mara tatu kwa kwenye tuzo ya video bora ya mwaka ikiwemo ile ya “Started from the Bottom,” “No Lie,” na “Problems” ila atakumbana na ushindani mkubwa toka kwa Justin Timberlake na wimbo wake wa “Suit & Tie,” Kanye West na ngoma yake ya “Mercy,” “Adorn” ya Miguel na Macklemore & Ryan Lewis na wimbo wao uitwao “Thrift Shop.”

Chris Brown na R. Kelly wanategemea kuimba kwenye tuzo hizo, wakati Chris Tucker ndiye atakayekuwa muongozaji wa tuzo hizo za BET.
Nomination za Tuzo za BET Kwenye Tuzo 13 ni Kama Ifuatavyo

Best Female R&B/Pop Artist
 Beyoncé
 Tamar Braxton
 Alicia Keys
 Rihanna
 Elle Varner

Best Male R&B/Pop Artist
 Chris Brown
 Bruno Mars
 Miguel
 Justin Timberlake
 Usher

Best Group
 Macklemore & Ryan Lewis
 Mary Mary
 Mindless Behavior
 Slaughterhouse
 The Throne (Kanye West & Jay-Z)

Best Collaboration
 2 Chainz f/ Drake – “No Lie”
 A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar – “Problems”
 French Montana f/ Rick Ross, Drake and Lil Wayne – “Pop That”
 Kendrick Lamar f/ Drake – “Poetic Justice”
 Justin Timberlake f/ Jay-Z – “Suit & Tie”
 Kanye West f/ Big Sean, Pusha T and 2 Chainz – “Mercy”

Best Male Hip Hop Artist
 2 Chainz
 A$AP Rocky
 Drake
 Future
 Kendrick Lamar

Best Female Hip Hop Artist
 Azealia Banks
 Eve
 Nicki Minaj
 Rasheeda
 Rye Rye

Video of the Year
 2 Chainz f/ Drake – “No Lie”
 A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar – “Problems”
 Drake – “Started From The Bottom”
 Drake f/ Lil Wayne – “HYFR”
 Kendrick Lamar f/ Drake – “Poetic Justice”
 Macklemore & Ryan Lewis f/ Wanz – “Thrift Shop”
 Miguel – “Adorn”
 Rihanna – “Diamonds”
 Justin Timberlake f/ Jay-Z – “Suit & Tie”
 Kanye West f/ Big Sean, Pusha T and 2 Chainz – “Mercy”

Video Director of the Year
 A$AP Rocky & Sam Lecca
 Benny Boom
 Director X
 Dre Films
 Hype Williams

Best New Artist
 Azealia Banks
 Joey Bada$$
 Kendrick Lamar
 Trinidad Jame$
 The Weeknd

Best Gospel Artist
 Deitrick Haddon
 Lecrae
 Tamela Mann
 Mary Mary
 Marvin Sapp

Best Actress
 Angela Bassett
 Halle Berry
 Taraji P. Henson
 Gabrielle Union
 Kerry Washington

Best Actor
 Don Cheadle
 Common
 Jamie Foxx
 Samuel L. Jackson
 Denzel Washington

YoungStars Award
 Gabrielle Douglas
 Jacob Latimore
 Keke Palmer
 Jaden Smith
 Quvenzhané Wallis

Best Movie
 Beasts of the Southern Wild
 Django Unchained
 Something from Nothing: The Art of Rap
 Sparkle
 Think Like a Man

Subway Sportswoman of the Year
 Gabrielle Douglas
 Brittney Griner
 Candace Parker
 Serena Williams
 Venus Williams

Subway Sportsman of the Year
 Victor Cruz
 Kevin Durant
 Robert Griffin III
 LeBron James
 Ray Lewis

Coca-Cola Viewers Choice Award
 A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar – “Problems”
 Drake – “Started From The Bottom”
 Kendrick Lamar – “Swimming Pools (Drank)”
 Miguel – “Adorn”
 Rihanna – “Diamonds”
 Justin Timberlake f/ Jay-Z – “Suit & Tie”

Centric Award
 Tamar Braxton – “Love and War”
 Fantasia – “Lose To Win”
 Miguel – “Adorn”
 Nas – “Daughters”
 Charlie Wilson – “My Love Is All I Have”

Best International Act: Africa
 2Face Idibia (Nigeria)
 Toya Delazy (South Africa)
 Donald (South Africa)
 Ice Prince (Nigeria)
 R2Bees (Ghana)
 Radio and Weasel (Uganda)

Best International Act: U.K.
 Marsha Ambrosius
 Estelle
 Labrinth
 Rita Ora
 Emeli Sandé
 Wiley

No comments:

Post a Comment