Wanaume watatu walichanganyikiwa walipomuona demu mzuri, basi kila mmoja akawa anajinadi kivyake kama ifuatavyo:-
Wa Kwanza: Naitwa MUHAMMAD lakini sio Mtume!
Wa Pili: Naitwa YOHANA lakini sio Mbatizaji!
Wa Tatu: Naitwa PETRO lakini sio Msaliti!
Basi nao wakauliza sijui mwenzetu unaitwa nani...?
Demu akawajibu: Naitwa MARIA lakini sio BIKRA..!
No comments:
Post a Comment