![]() |
Jiroemon Kimura |
Kutana na binadamu mwenye miaka mingi kuliko wote waliowahi kutokea duniani, anaitwa Jiroemon Kimura, siku
ya Ijumaa alisherehekea siku yake ya kuzaliwa, akiwa amefikisha miaka 116 huko nchini
Japan.
Watu wengi walikuja kumuona, akiwamo Meya wa wa jiji la
Kyotango na maofisa toka Guinness World Records.
“ Umetupa fahari na kujiamini sana sisi kama watu wa Japan,”
Waziri Mkuu Shinzo Abe alisema kwenye mkanda wa video uliokuwa umerekodiwa
zikiwa ni salamu kwa Kimura.
No comments:
Post a Comment