Kwa dili hii, muanzilishi huyo wa WhatsApp, Jan Koum, sasa amekuwa ni mmoja kati ya Wakurugenzi wa Bodi ya Facebook.
Je unashangaa kwa nini wao wanandelea na sisi wabongo kila kukicha tunaganga njaa? Hii ipo hivi...
Hawa watu sio watu wa kutaka kuwa karibu na Rais, wao ni aina ya watu wa kuchakarika masaa 24/7, na sio watu wa kujipendekeza kwa chama au mwanasiasa yeyote ili waweze kutoka kimaisha.
Tanzania itaanza safari yake rasmi ya kimaendeleo iwapo kila mmoja wetu atajituma na kuwa mchapakazi hodari. Hili likifanikiwa tuna kila sababu ya kuwa na wakina Bakhresa kwenye nchi hii.
No comments:
Post a Comment