Monday, February 10, 2014

Rais Akutana na Kaka Yake wa Baba Mmoja kwa Mara ya Kwanza [VIDEO & PICHA]

Kaka wa baba mmoja Mark Obama Ndesandjo ametoa kitabu cha kuhusu
maisha yake akimuelezea Rais wa Marekani kama ‘mtu poa wakati mwengine’
Hii ni video ambayo haijawahi kuonekana kabla, ikijaribu kuonyesha kitendo kimoja cha kushangaza kimtindo, na ni pale ambapo Rais wa Marekani Barack Obama na kaka yake wa baba mmoja Mark Obama Ndesandjo walipokutana kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20.

Ilikuwa ni mara ya pili kwa wawili hawa kukutana ambao wanashea baba mmoja, na ilikuja kutangazwa mwaka 2008 dakika chache kabla ya Rais wa baadae alipokuwa anajiandaa kwa ajili ya kipindi cha televisheni kwa mjadala na Hilary Clinton.

Sio kawaida kwake kujionyesha, kaka mdogo Mark ameamua kuachia kitabu cha maisha yake ambapo ndani yake amezungumzia juu ambacho wengi walikuwa hawakifahamu kuhusu mahusiano yake na mmoja kati ya watu wenye nguvu zaidi duniani.


Angalia video hapo chini walipokutana....

1 comment:

  1. ww dan chibo video iko wapi acha bwebwe

    ReplyDelete