Hakika Mungu ni mkuu kila wakati na Mungu siku zote ni muaminifu.... Kwa maana familia hii nzuri, inayojulikana kama familia ya Coble, kwenye ajali ya kushtuza, ilipoteza watoto wote watatu, wasichana wawili na mvulana mmoja, kwenye ajali mbaya. Ilihuzunisha sana kwa kwao ikiwaacha wakililia na kupiga kelele ila watoto ndio walishaondoka.
Ikatokea, mwaka mmoja mbele, Mungu katika huruma na maajabu yake aliwashtusha. Mwanamke akapata ujauzito na akajifungua mapacha watatu - vile vile wasichana wawili na mvulana mmoja.
No comments:
Post a Comment