Thursday, February 27, 2014

Gabrielle Union Aelezea Vile Alivyoepuka Kubakwa Huku Akiwa Ameshikililwa Bastola Kipindi Alipokuwa na Miaka 19

Gabrielle Union amefunguka juu ya vile alivyoweza kukwepa kubakwa huku akiwa ameshikiwa bastora katika kipindi alichokuwa na miaka 19, huku akiwapa moyo ambao walishawahi kupatwa na majanga kama hayo kupotezea yaliyopita.

Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 41, ambaye anajiandaa kufunga ndoa na mchezaji wa NBA, Dwyane Wade, 32 aliwaeleza watazamaji waliokuwa wakimfatilia alipokuwa kwenye kipindiasema: 'Wakati mambo ya ajabu yanapotokea kwenye maisha kila mtu atakuungana nawe ila sio kwa kitu sahihi na huwa sipendi hivyo..

'Sipendi kujisikia kama mtuhumiwa, inakufanya uwe mvivu. Napenda kujiona na kuwa kama ni mkombozi. Nimelelewa kuwa mwanamke anayejitegemea. Hiyo ndiyo njia niliyoamua kuifata.'

No comments:

Post a Comment