KWA UFUPI:
Chombo hicho pia kimeshinda tuzo ya
Best News Coverage – International
Hapo jana usiku kwenye tuzo za Royal Television Society (RTS), CNN International ilitangazwa kama Channel Bora ya Habari kwa mwaka wa pili mfululizo, ikizipiku Sky News na BBC News Channel, huku pia kituo hicho kikishinda kwenye kipengele cha Best News Coverage – International kutokana na kuripoti kwake vizuri tukio la Typhoon Haiyan nchini Philippines ikizishinda ITN na BBC One.
Ripoti za matukio kama ya Westgate Mall lililotoke jijini Nairobi, mkanganyiko wa madaraka nchini Misri na migongano inayoendelea nchini Syria ni moja kati matukio machache yaliyopelekea ktiuo hicho kushinda tuzo hizo za RTS.
No comments:
Post a Comment