Tuesday, December 17, 2013

UCHUNGUZI WA MTANDAO: Yesu Kristo ni Mtu Maarufu Zaidi Katika Historia, Wafahamu Walioshika Nafasi ya Pili na Tatu Mpaka ya Mia Moja


Yesu Kristo ni mtu maarufu zaidi katika historia ya Dunia, hii ni kwa mujibu wa Uchunguzi wa programu ya mtandao ambapo ilibaini pia kwamba Napoleon Bonaparte, Mwanajeshi wa Kifaransa na Kiongozi wa Kisiasa, ambaye alikuwa Mfalme wa kwanza wa Ufaransa  alishika nafasi ya pili, huku Muhamad, Kiongozi wa Dini, Siasa na Jeshi toka Mecca ambaye aliwaunganisha Waarabu kuwa na Dini moja ya Kiislamu alishika nafsi ya tatu.

HII NI TOP 100
  1. Jesus 
  2. Napoleon
  3. Muhammad
  4. William Shakespeare
  5. Abraham Lincoln
  6. George Washington
  7. Adolf Hitler
  8. Aristotle
  9. Alexander the Great
  10. Thomas Jefferson
  11. Henry VIII of England
  12. Charles Darwin
  13. Elizabeth I of England
  14. Karl Marx
  15. Julius Caesar
  16. Queen Victoria
  17. Martin Luther
  18. Joseph Stalin
  19. Albert Einstein
  20. Christopher Columbus
  21. Isaac Newton
  22. Charlemagne
  23. Theodore Roosevelt
  24. Wolfgang Amadeus Mozart
  25. Plato
  26. Louis XIV of France
  27. Ludwig van Beethoven
  28. Ulysses S. Grant
  29. Leonardo da Vinci
  30. Augustus
  31. Carl Linnaeus
  32. Ronald Reagan
  33. Charles Dickens
  34. Paul the Apostle
  35. Benjamin Franklin
  36. George W. Bush
  37. Winston Churchill
  38. Genghis Khan
  39. Charles I of England
  40. Thomas Edison
  41. James I of England
  42. Friedrich Nietzsche
  43. Franklin D. Roosevelt
  44. Sigmund Freud
  45. Alexander Hamilton
  46. Mohandas Karamchand Gandhi
  47. Woodrow Wilson
  48. Johann Sebastian Bach
  49. Galileo Galilei
  50. Oliver Cromwell
  51. James Madison
  52. Gautama Buddha
  53. Mark Twain
  54. Edgar Allan Poe
  55. Joseph Smith, Jr.
  56. Adam Smith
  57. David, King of Israel
  58. George III of the United Kingdom
  59. Immanuel Kant
  60. James Cook
  61. John Adams
  62. Richard Wagner
  63. Pyotr Ilyich Tchaikovsky
  64. Voltaire
  65. Saint Peter
  66. Andrew Jackson
  67. Constantine the Great
  68. Socrates
  69. Elvis Presley
  70. William the Conqueror
  71. John F. Kennedy
  72. Augustine of Hippo
  73. Vincent van Gogh
  74. Nicolaus Copernicus
  75. Vladimir Lenin
  76. Robert E. Lee
  77. Oscar Wilde
  78. Charles II of England
  79. Cicero
  80. Jean-Jacques Rousseau
  81. Francis Bacon
  82. Richard Nixon
  83. Louis XVI of France
  84. Charles V, Holy Roman Emperor
  85. King Arthur
  86. Michelangelo
  87. Philip II of Spain
  88. Johann Wolfgang von Goethe
  89. Ali, founder of Sufism
  90. Thomas Aquinas
  91. Pope John Paul II
  92. René Descartes
  93. Nikola Tesla
  94. Harry S. Truman
  95. Joan of Arc
  96. Dante Alighieri
  97. Otto von Bismarck
  98. Grover Cleveland
  99. John Calvin 
  100. John Locke

No comments:

Post a Comment