Wednesday, December 18, 2013
Kim Kardashian Miezi Sita Baada ya Kujifungua Akiwa Kwenye Bikini [PICHA]
Hebu mcheki Kim Kardashian ambaye ni mchumba wa rapa maarufu, Kanye West, akiwa kwenye bikini, miezi sita tu baada ya kujifungua mtoto wake wa kike aitwaye North West.
Kim mwenye umri wa miaka 33 ambaye ni nyota wa vipindi vya halisia kwenye televisheni amedhihirisha tena kwa mashabiki wake kuwa kuna sababu hasa zinazomfanya kuwa mmoja kati ya wanawake wanaozungumziwa zaidi Duniani kwa sasa.
Hakika anacho na anajua kama anacho....
Labels:
PHOTOS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment