Kelly Rowland Kwenye Nguo Ndefu ya Mpasuo [PICHA]
Mwanamuziki aliyechumbiwa hivi karibuni Kelly Rowland mnamo siku ya Alhamisi alihudhuria pati ya X Factor Season 3 iliyoofanyika ndani ya Los Angeles huku akiwa amevaa nguo ndefu yenye mpasuo isiyokuwa na mikanda.
Mcheki hapa kisha nambie unamuonaje...?
No comments:
Post a Comment