Kate Middleton na Prince William jioni hii wamehudhuria kwenye uzinduzi wa filamu ya Mandela - Long Way to Freedom, uzinduzi uliofanyika jijini London ndani ya Leicester Square.
Kate aliingia akiwa amevaa gauni la Roland Mouret, ambalo lilimfanya aonekane kama mke wa mfalme! Oh ngoja kwanza, kweli ni hivyo! :-)
Duke na Duchess wa cambridge walionekana kuwa wamepenedeza kwa nguo walizozivaa, nguo ambazo zilionekana kufanana na zile ambazo walizivaa kwenye tukio la black tie ambalo lilifanyika mwezi May 2012.
Angalia picha hapo chini....
No comments:
Post a Comment