Barack Obama |
Kwa mujibu wa maafisa wa US, hali tete ya kiusalama ya nchini Nigeria ndicho kitu kinachoonekana kuwa ni sababu kuu ya kuahilishwa kwa ujio huo wa Obama nchini Nigeria ikiwa ni mara yake ya pili kufanya ziara barani Afrika.
Obama anategemea kutembelea nchini Tanzania, Senegal na Afrika Kusini.
Serikali ya Marekani imesema ziara hiyo itazingatia zaidi kwenye masuala ya uwekezaji, ujengwaji wa taasisi za kidemokrasia, vijana wadogo na uwezeshwaji wa ukuwaji wa uchumi.
No comments:
Post a Comment