Saturday, May 25, 2013

Kutana Na Moja Kati Wapenzi Ambao Ni Wanamichezo Duniani

Don Akim, 43, na Rosanna Beckett, 33.

Wanaishi Lowestoft, Suffolk, wakiwa na mtoto wao wa kike aitwaye Carmen.

Mara zote wamekuwa wakijiweka fiti, ila walianza kufanya mazoezi ya kujenga mwili miezi minne tu iliyopita.

Wameshinda mataji matatu kwenye mashindano Miami ya mabingwa wa Dunia yaliyofanyika ndani ya St Albans.

Wawili hawa walikutana na kuwa wapenzi miaka minane iliyopita kwenye moja kati ya kumbi za usiku za Norwich

Don ni mfanyakazi wa kwenye meli, Rosanna ni mchezaji mziki.

Wawili hawa wajenga mwili, wamekuwa ni wapenzi wa kwanza kwa wote kushinda mashindano ya Dunia kwa wakati mmmoja.



No comments:

Post a Comment