Shindano la Big Brother Africa limeanza, safari hii likijulikana kama "The Chase" huku Tanzania ikiwa imeingiza washiriki wawili Feza na Nando.
Kama hujapata nafasi ya kuwaona hawa ndio washiriki 28 wa Shindano hilo maarufu Africa na Duniani kwa ujumla...
Feza – Tanzania |
Nando – Tanzania |
Pokello – Zimbabwe |
LK4 – Uganda |
Selly – Ghana (Yupo Kwenye Mahusiano) |
Bassey – SierraLeone |
Dellish – Namibia |
Angelo – South Africa (Sio Muaminifu kwa Mwanamke) |
Fatima – Malawi |
Huddah – Kenya |
Bimp – Ethiopia |
Motamma – Botswana (Miss Dunia Utalii) |
Neyll- Angola |
Beverly – Nigeria |
Sulu – Zambia |
Cleo – Zambia |
O’Neal – Botswana |
Maria- Namibia |
Melvin – Nigeria |
Natasha – Malawi |
Biguesas – Angola |
Elikem – Ghana |
Betty – Ethiopia |
Bolt – Sierra Leone |
Annabel – Kenya |
Denzel – Uganda |
Koketso – South Africa |
Hakeem – Zimbabwe |
No comments:
Post a Comment