Hebu fanya kunitajia sehemu moja mashuhuri iliyopo Tanzania yenye herufi 8.
Herufi 4 za mwanzo ni chakula ambacho wazungu wanapenda sana kukitumia na hata wabongo nao wameanza kukitumia.
Pia herufi zake 4 mwisho ni kiungo muhimu kilichomo ndani ya mwili wako.
NAOMBA JIBU: Na tuone kama mjini ulikuja kwa gari la mkaa, mbio za mwenge au kwa basi..!
No comments:
Post a Comment