Monday, April 15, 2013

Swali La Kizushi

Mpenzi wako mliyetemana na hasa km wewe ndio ulimmwaga anakutumia SMS akisema, ''HAUTAKUJA KUPATA MTU KAMA MIMI'' Kama ni wewe utamjibu nini hasa..?

No comments:

Post a Comment