Monday, April 15, 2013

Inasikitisha

Huu ni mfano miongoni mwa mambo mengi ambayo Watoto na Wadogo zetu hufundishwa au kufanyiwa. Kutukana, kuingiliana au kuingiliwa ni baadhi ya mengineyo. Hebu sema japo NENO kwa Watu wenye tabia kama ya huyo bwana.

No comments:

Post a Comment